OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile
OFISI YA RAIS TAMISEMI

@ortamisemitz

Ukurasa Rasmi wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, (Official Page for PO-RALG)
P.O.BOX 1923
Dodoma
Email: [email protected]
Mji wa Serikali Mtumba

ID: 1315583320311435264

linkhttp://www.tamisemi.go.tz calendar_today12-10-2020 09:22:05

7,7K Tweet

62,62K Followers

81 Following

OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

#Repost @habarileo_tz with Roslyn K..repost ・・・ DAR ES SALAAM; Wanawake wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji utakaofanyika nchi nzima Novemba 27, mwaka huu. - Akizungumza kwenya mjadala ulioandaliwa na Daily News Digital,

#Repost @habarileo_tz with <a href="/use/">Roslyn K.</a>.repost
・・・
DAR ES SALAAM; Wanawake wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji utakaofanyika nchi nzima Novemba 27, mwaka huu.
-
Akizungumza kwenya mjadala ulioandaliwa na Daily News Digital,
OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi, OFISI YA RAIS TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na wadau kutoka mfuko wa Dunia unaofadhili mapambano dhidi ya Kifua Kikuu, Malaria, UKIMWI na Uimarishaji wa Mifumo Endelevu ya Afya (Global Fund). Ujumbe huo uliongozwa na msimamizi Mkuu wa Miradi yenye Matokeo

Waziri wa Nchi, <a href="/ortamisemitz/">OFISI YA RAIS TAMISEMI</a> Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na wadau kutoka  mfuko wa Dunia  unaofadhili mapambano dhidi ya Kifua Kikuu, Malaria, UKIMWI na Uimarishaji wa Mifumo Endelevu ya Afya (Global Fund). 

Ujumbe huo  uliongozwa na msimamizi Mkuu wa Miradi yenye Matokeo
OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amefanya kikao kazi na walimu wa shule za sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa walimu hao. Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Wakuu wa Idara

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amefanya kikao kazi na walimu wa shule za sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa walimu hao.

Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Wakuu wa Idara
OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan Ngoma amewakalisha ujumbe muhimu wa kujiandikisha kwenye Orodha ya Wapigakura wa Serikali za Mitaa 2024 #uchaguziserikalizamitaa2024

Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Wizara ya Elimu,kwa Kushirikiana na World Bank, Children in Cross fire, Save the children,brack Tanzania pamoja na Maafisa Ustawi wa Jamii mkoa wa Dar wameshiriki ziara ya kutembelea vituo vya kulelea Watoto wadogo mchana katika Halmashauri ya Jiji la

WALIMU MTUSAIDIE KUONGEZA UFAULU WA KIDATO CHA NNE - Mhe. Mchengerwa Na. James K. Mwanamyoto, OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa walimu wa sekondari wenye ajira ya kudumu na wanaojitolea nchini

WALIMU MTUSAIDIE KUONGEZA UFAULU WA KIDATO CHA NNE - Mhe. Mchengerwa

Na. James K. Mwanamyoto, OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa walimu wa sekondari wenye ajira ya kudumu na wanaojitolea nchini
OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira, tafadhali soma kwa makini na fuata maelekezo!

Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira, tafadhali soma kwa makini na fuata maelekezo!