Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile
Fortunatus Buyobe

@fbuyobe

Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: t.me/fbuyobe

ID: 1433349078600015873

calendar_today02-09-2021 08:41:30

21,21K Tweet

113,113K Followers

855 Following

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ๐Ÿ’๐ญ๐ก ๐Œ๐š๐ซ๐œ๐ก ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ• ๐‹๐ฎ๐ ๐จ๐๐š ๐’๐ญ๐ซ๐ž๐ž๐ญ ๐Š๐š๐ซ๐ข๐š๐ค๐จ๐จ,๐†๐ž๐ซ๐ž๐ณ๐š๐ง๐ข ๐ˆ๐ฅ๐š๐ฅ๐š ๐ƒ๐ข๐ฌ๐ญ๐ซ๐ข๐œ๐ญ, ๐ƒ๐š๐ซ ๐„๐ฌ ๐’๐š๐ฅ๐š๐š๐ฆ ๐ŸŽ๐Ÿ: ๐๐Œ Majira ya mchana, yanaonekana magari matatu aina ya "Defender" yakiwa na askari wa kutosha yakiwa barabara ya Lugoda

๐Ÿ๐Ÿ’๐ญ๐ก ๐Œ๐š๐ซ๐œ๐ก ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ•
๐‹๐ฎ๐ ๐จ๐๐š ๐’๐ญ๐ซ๐ž๐ž๐ญ
๐Š๐š๐ซ๐ข๐š๐ค๐จ๐จ,๐†๐ž๐ซ๐ž๐ณ๐š๐ง๐ข
๐ˆ๐ฅ๐š๐ฅ๐š ๐ƒ๐ข๐ฌ๐ญ๐ซ๐ข๐œ๐ญ, ๐ƒ๐š๐ซ ๐„๐ฌ ๐’๐š๐ฅ๐š๐š๐ฆ

๐ŸŽ๐Ÿ: ๐๐Œ 

Majira ya mchana, yanaonekana magari matatu aina ya "Defender" yakiwa na askari wa kutosha yakiwa barabara ya Lugoda
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Hapa, siku hii, kinaelekea kushuhudiwa kitendo kilichopata kutokea miaka 22 iliyopita.. Inawezekana watu wanaoshuhudia hili, wakati huu, hapa Gerezani, hawakuwa wamezaliwa, au walikuwa bado wako mikoani wakati wa tukio la kwanza..... Naam! Uzi!๐Ÿ‘‡ THE MAFIA STATE

Hapa, siku hii, kinaelekea kushuhudiwa kitendo kilichopata kutokea miaka 22 iliyopita..

Inawezekana watu wanaoshuhudia hili, wakati huu, hapa Gerezani, hawakuwa wamezaliwa, au walikuwa bado wako mikoani wakati wa tukio la kwanza.....

Naam!

Uzi!๐Ÿ‘‡

THE MAFIA STATE
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Nyaulawa alifikwa na umauti akiwa ni mbunge wa Mbeya vijijini kupitia CCM Maradhi ya saratani ya utumbo ikiwa chanzo cha umauti wake. Hivyo mzee Mbuguni ndiye akabaki kuliongoza jahazi. Mambo yalienda vizuri hadi mwaka 2016 Naam! Mwaka wa Jiwe kuu la pembeni

Nyaulawa alifikwa na umauti akiwa ni mbunge wa Mbeya vijijini kupitia CCM

Maradhi ya saratani ya utumbo ikiwa chanzo cha umauti wake.

Hivyo mzee Mbuguni ndiye akabaki kuliongoza jahazi.

Mambo yalienda vizuri hadi mwaka 2016

Naam!

Mwaka wa Jiwe kuu la pembeni
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Naam! Ndio ghafla bin Vuu mwaka 2017 akiwa bado anarejesha mikopo, ukatokea tena ule msafara wa magari kama uliwavamia mwaka 1995 Msafara ule ukaishia nje ya lilipo jengo lake la uchapaji magazeti. Wakashuka watu wa "Task Force" na kuzingira jengo lile

Naam!

Ndio ghafla bin Vuu mwaka 2017 akiwa bado anarejesha mikopo, ukatokea tena ule msafara wa magari kama uliwavamia mwaka 1995

Msafara ule ukaishia nje ya lilipo jengo lake la uchapaji magazeti.

Wakashuka watu wa "Task Force" na kuzingira jengo lile
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

TRA walipofatwa wakakana kuhusika bali ni Task Force Baadaye binti wa Mbuguni aitwaye Agha, akapokea simu ya mtu aliyejitambulisha kwake kuwa anataka kumsaidia. Akadai msaada utapatikana atakapomkutanisha na aliyekuwa mkuu wa idara fiche maarufu kama Mchungaji

TRA walipofatwa wakakana kuhusika bali ni Task Force

Baadaye binti wa Mbuguni aitwaye Agha,  akapokea simu ya mtu aliyejitambulisha kwake kuwa anataka kumsaidia.

Akadai msaada utapatikana atakapomkutanisha na aliyekuwa mkuu wa idara fiche maarufu kama Mchungaji
Twaib Mbonde (@abuusakiinah) 's Twitter Profile Photo

Fortunatus Buyobe Buyobe ananikosha na stori zake,stori zake zina uhalisia na mazingira yetu na nyengine tunaziishi.Hii sio simulizi ya kwanza kuisikia kwako ambayo nimewahi kuwajuwa wahusika.Nakumbuk 2008 nlipata penpal akiitwa Jesca Richard Nyaulawa akiwa anasoma St Francis

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Nadhani mnakielewa kile "kivuli" cha media kiitwacho "Sergeant Njiwa" chenye ofisi zake pale Leaders Club. Wanakutana mara moja tu kwa wiki (Thursdays) ili "kuuziana kahawa" Visit telegram.

Nadhani mnakielewa kile "kivuli" cha media kiitwacho "Sergeant Njiwa" chenye ofisi zake pale Leaders Club.

Wanakutana mara moja tu kwa wiki (Thursdays) ili "kuuziana kahawa"

Visit telegram.
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Fatuma kapanda difenda lakini liWanyoni liko huru linaanza weekend yake asubuhi na mapema. Ukichagua upande sahii Mungu wa majeshi atakupa furaha muda wote. Sonona utazisikilizia kwenye radio Cc. Hekima Mwasipu