Mthesalonike Wa KIANDA (@kiandawa54668) 's Twitter Profile
Mthesalonike Wa KIANDA

@kiandawa54668

A writer, Analyst of different literary Works and Inspirational speaker📚Mpiga KINANDA, dereva Bodaboda and professional Jobless📌

ID: 1651982491815641089

calendar_today28-04-2023 16:11:51

21,21K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

MUNGU AMENIHURUMIA, TENDO HILI KUBWA SANA, SIKUSTAHILI JAMBO HILI, NIMELIPATA BURE TU...... 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Isack Mathew Ilamlila (@isackilamlila) 's Twitter Profile Photo

Ukisasa unawaharibu Sana, Watu Wanapataje Nguvu ya kupiga PICHA ndani kanisani na Ibada inaendelea. Yani Hapa lengo ni kuja kuonesha umekwenda kanisani. Ibada ni kitendo cha mawasiliano wewe ni Muumba Wako ikiwezekana kiwe siri na ndo maana watu wanasari Home. Yesu mwenyewe

ZIP (@zipdmpjr22) 's Twitter Profile Photo

"Upendo wa dhati" ni lugha pana sana ambayo Kipofu anaiona, Kiziwi anaisikia, na Bubu anaizungumza. Watu wanaweza kukusahau ila wasisahau yale uliyowatendea iwe mema au mabaya.* *Jifunze Kuisha na watu vizur kwa Misingi ya matendo Mema, *SIKUIZI WANAOTUPA FURAHA NI WALE

Hustler👣 (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu husema: "Huwezi kufanya hivyo, haiwezekani!!" Usiwasikilize,Ni uongo. Wanajua kuwa inawezekana,hawataki tu uifanikishe. Ndio maana wanajaribu kukuzuia. Lakini usizizingatie.Jizingatie wewe

MZUNGU PORI💪 (@mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Jitahidi sana ukiwa na Mwanamke hakikisha asikutawale kama mwanaume ni aibu sana hata kwa sisi ambao mahusiano yenu hayatuhusu..🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️