Engkabora (@engkabora) 's Twitter Profile
Engkabora

@engkabora

#Biomedical engineering🙏

#simbasctanzania

#MrLaptopSuplierTz
wa.me/c/255785003692
🇹🇿❤🙏

ID: 1784459339102552064

linkhttps://youtube.com/@Kaboratv177?si=MPspsSRe9ht_1MZN calendar_today28-04-2024 05:47:35

10,10K Tweet

2,2K Followers

3,3K Following

MARITA 🍫🍷 (@urbanvintagedsm) 's Twitter Profile Photo

Naomba #Repost 🙏🏽 #Malotwine (Pochi + Box) Zinafaa Kwenye #Sherehe🍷🎉 ✅Classic + Easy To Serve ( Zina Koki Pembeni) #Rejareja •Pochi (3 Litres ) - 25,000 • Box (5 Litres) - 45,000 #Jumla Rejea Kwa #PinnedPost Dar - 0628780856 Lakezone- 0759065282 🏍️Delivery Ipo

Naomba #Repost 🙏🏽

#Malotwine  (Pochi + Box) Zinafaa Kwenye #Sherehe🍷🎉

✅Classic + Easy To Serve ( Zina Koki Pembeni) 

#Rejareja
•Pochi  (3 Litres ) - 25,000
• Box (5 Litres) - 45,000
#Jumla
Rejea Kwa  #PinnedPost
  
Dar - 0628780856
Lakezone- 0759065282

🏍️Delivery Ipo
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ni weekend nyingine tuliyoiomba tuione tukiwa na afya njema tunasema asante Bwana. Tumeziona baraka zako kwenye kazi zetu, tumeuona mkono wako kwenye familia zetu. Tunaomba mkono wako ukatembelee waliotekwa, ni vijana wadogo wanategemewa na familia zao. Pia kawape pumziko jema

Ni weekend nyingine tuliyoiomba tuione tukiwa na afya njema tunasema asante Bwana.

Tumeziona baraka zako kwenye kazi zetu, tumeuona mkono wako kwenye familia zetu.

Tunaomba mkono wako ukatembelee waliotekwa, ni vijana wadogo wanategemewa na familia zao.

Pia kawape pumziko jema
Queen Online Business (@queenonlinebiz) 's Twitter Profile Photo

🙏Nisaidie Repost🥰 #QUALITY SHOES🔥🛍️ ~Brand name; VANS🛍️🛍️ ~Size; 38 39 40 41 42 43 44 ➡️Price; 55000/= ~Delivery available 📍Kariakoo 📞 0623346245

🙏Nisaidie Repost🥰

#QUALITY SHOES🔥🛍️

~Brand name; VANS🛍️🛍️

~Size; 38 39 40 41 42 43 44 

➡️Price; 55000/=

~Delivery available
📍Kariakoo
📞 0623346245
Jobless (@jobless_23) 's Twitter Profile Photo

"Evra alinikwaza kwenye mchezo wa kwanza wakati hakuruka na Cristiano Ronaldo lakin nikaona mchezo wa marudiano Goti la Cristiano Ronaldo lilikuwa sawa na kichwa cha Evra, Nilijihisi mjinga kidogo na nikajilaumu nilizungumza ujinga gani kwa Evra"🙄.. 🗣 Sir ALEX FERGUSON

"Evra alinikwaza kwenye mchezo wa kwanza wakati hakuruka na Cristiano Ronaldo lakin nikaona mchezo wa marudiano Goti la Cristiano Ronaldo lilikuwa sawa na kichwa cha Evra, Nilijihisi mjinga kidogo na nikajilaumu nilizungumza ujinga gani kwa Evra"🙄..

🗣 Sir ALEX FERGUSON
Being 6 💊💉🌡️🩺 (@tinaarys) 's Twitter Profile Photo

Binadamu tunaishi mara moja tu, itumie vizuri hii fursa ya uhai wa muda machache wa kuwepo hapa duniani, ukipata mtu wa kumpenda mpende kwa uwezo wako wote,lakini kumbuka kuweka akiba kana kwamba utaishi milele pia usisahau kuwa mwema kwa Kila mtu ila usiwe dhaifu.

Binadamu tunaishi mara moja tu, itumie vizuri hii fursa ya uhai wa muda machache wa kuwepo hapa duniani, ukipata mtu wa kumpenda mpende kwa uwezo wako wote,lakini kumbuka kuweka akiba kana kwamba utaishi milele pia usisahau kuwa mwema kwa Kila mtu ila usiwe dhaifu.