Charming Boy.! (@alexlyimo5) 's Twitter Profile
Charming Boy.!

@alexlyimo5

I see ma self……!!!!

ID: 1379385488021200900

calendar_today06-04-2021 10:48:44

33,33K Tweet

3,3K Followers

3,3K Following

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Ila maisha ya Ulaya, Mwanangu napiga nae stori ananiambia Jirani yake kammind kisa hajampa pole ya kufiwa na Mbwa wakeπŸ˜€

MZEE NYOKO (@mzee_nyoko) 's Twitter Profile Photo

Hakuna haja tena yakuanza kusema Mimi natokea mwanza Oooh Mimi NI mkerewe Oooh Mimi ni msukuma Hakuna haja tena tunatambuana Kwa Sare ya Pamba Jiji FC hatutaki mdomo vaa Sare tutajua wewe NI nani

Hakuna haja tena yakuanza kusema Mimi natokea mwanza 

Oooh Mimi NI mkerewe 

Oooh Mimi ni msukuma 

Hakuna haja tena tunatambuana Kwa Sare ya <a href="/Pamba_Jiji/">Pamba Jiji FC</a>  hatutaki mdomo vaa Sare tutajua  wewe NI nani